Hongera Ze dudez!!

JPM605

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
216
122
Hatimaye baada ya subira ya mda mrefu mambo yako wazi. Ze dude umekuwa wa muhimu sana kwa kutupa info za awali na kuahidi kutupa zilofuatia. Hauna ubinafsi nakupenda kwa hilo, ulitoa tokeo la DSM japo mwenyewe hukupangwa huko. Pamoja na kuwa kila kitu kiko wazi endelea kudumu kwenye jukwaa la elimu siku zote kwani mchango wako haupimiki. Na kwa sisi sote tuendelea kuwamo humu ndani tukishaurina jinsi ya kusukuma life la chuo. Tuwashauri pia watakaomaliza 6 miaka ijayo juu ya uchaguzi wa faculty n.k. LONG LIVE JF. Mungu mbariki Dude, Mungu ibariki Tanzania.
 
thanks mkuu !! Mwisho wa siku tukafanye kweli pande hizo za chuo !! So tena ku-disco
<<< Ze duduz >>>
 
yan hata mimi namkubal sana jamaa!!!! mungu ambariki sana...
 
hongeren wote mliopata vyuo,kw kweli 2namshukuru mwenyez mungu kwa ku2wezesha. . . .tatizo linakuja wale wa non priority ndo tayari 2meshakwenda na maji jamani,mbna mambo yatakua magumu xana.
 
Sioni ata alichokifanya..vile wewe umechaguliwa UDSM,,ndo unampa pongezi ze duduz... Ungeeenda SUA yote haya usingeyasema...
 
kama huoni basi ww kipofu alafu SUA ndipo alipo Ze dudez,kijana matunda ya bro lyimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom