Umesema yote Mkuu, but kwa wale waliopo zizini kwetu pongezi hizo ziwafikieNdungu yangu kuna baadhi ya wana habari ni janga la kitaifa, kuupamba ufisadi kwao ni tija, kuwazushia na kusambaza propaganda hasi kwa wapambanaji dhidi ya ufisadi kwao ni mafanikio. Tunawajua walio wa zizi letu