i second the move..........
modalities gani zinatakiwa kuweka petition kwa huyu jamaa??? can we print ile video na kugawa bure around tanzania
nimeshai download ,hata wakiifuta kule you tube nitakuwa nayo na inabidi tui burn kwenye dvd na kuanza kuisambaza Tanzania nzima
mkuu iko wapi hiyo video mi sijakusoma kabisaaa??
hii ni aina ya wabunge wanaotuwakilisha bungeni ..hakika tuna safari ndefu so sad
Vincent Nyerere alianza na Mungu kamaliza na Mungu,
Lusinde alianza na matusi kamaliza na matusi.
Nipige nisipige kudadadek kapigwa yeyeniwalambee..nisiwalambeee? Kudadadek jamaa kalambwa yeye.