Unajua ujenzi wa barabara za kwenye halmashauri yoyote zipo chini ya mamlaka gani?,unajua budget inapangwa na nani?,unajua tofauti ya majukumu ya Mkurugenzi wa halmashauri na meya wa jiji ni IPI???,kama hauna majibu ya haya maswali Fanya utafiti kwanza halafu uje na Uzi mwingine uliokamilika,si ajabu ndo maana kichwa cha habari na maelezo yako havieleweki,mpunguze ushabiki wa vyama Kwa faida ya taifa letu.