Hongera UKAWA

TUTUO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,251
2,027
Yapata wiki ya pili sasa kile nilichokuwa sikipendi kwenye barabara za jiji la Dar es salaam kinaondoka, ni yale marundo ya udongo ambayo huwa yanaachwa katikati ya barabara huko duniani ni ile sehemu zinapopita tram
 
Unajua ujenzi wa barabara za kwenye halmashauri yoyote zipo chini ya mamlaka gani?,unajua budget inapangwa na nani?,unajua tofauti ya majukumu ya Mkurugenzi wa halmashauri na meya wa jiji ni IPI???,kama hauna majibu ya haya maswali Fanya utafiti kwanza halafu uje na Uzi mwingine uliokamilika,si ajabu ndo maana kichwa cha habari na maelezo yako havieleweki,mpunguze ushabiki wa vyama Kwa faida ya taifa letu.
 
Dawa ya kufukuza mdudu UKAWA ni Dr Tulia.

Popote ukiona mdudu ukawa pulizia Dr Tulia. Wote watakimbia
 
Unajua ujenzi wa barabara za kwenye halmashauri yoyote zipo chini ya mamlaka gani?,unajua budget inapangwa na nani?,unajua tofauti ya majukumu ya Mkurugenzi wa halmashauri na meya wa jiji ni IPI???,kama hauna majibu ya haya maswali Fanya utafiti kwanza halafu uje na Uzi mwingine uliokamilika,si ajabu ndo maana kichwa cha habari na maelezo yako havieleweki,mpunguze ushabiki wa vyama Kwa faida ya taifa letu.
hapo palipo andikwa TAIFA LETU,inaniwia vigumu sana kuelewa unamaanisha nini?hili sio TAIFA LETU,NI TAIFA LA CCM,siku waking'olewa madarakani ndo angalau tunaweza kuwa na taifa letu,but as it stands no way out hili ni taifa coloni la CCM,na ndo maana wanaficha ficha mambo kwa kuogopa kuonekana madhambi yao,lakini MUNGU hakuniwi Nazi na ndo maana wote tunazaliwa siku moja na kufa siku moja
 
Back
Top Bottom