Hongera Tundu Lissu, umewafunika wote

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Ndio hii ndio jumla ya maneno yote, kwamba moto umewashwa tayari huko Ulaya na kichaka kinateketea Afrika. Walitamani sana afe lakini kwa uwezo wake Jalali bado yu hai, pia baada ya kosa kosa za tyu tyu tyu nyingi, bado Mungu anampigania.

Ndio inawezekana kabisa kuwa wamemuingiza katika kundi la walemavu, lakini akili zake bado zipo timamu na hicho ndicho wanaoona mbali ndani ya nchi hii wanachojivunia kwake.

Kwani alikosa nini au kuwa mkweli na kuutoa ushauri kwa uwazi jinsi alivyo fanya ilikuwa ni nongwa?

Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa huyu bwana Mwenyezi Mungu amemjalia kipawa cha kipekee sana. Hebu angalia ameongea tu kidogo huko ughaibuni huku watu wote ndani ya CCM wanaweweseka. Kila mmoja anakuja na matamko yake, ooo Mara akapimwe akili, na anayesema hivyo anatambua fika kuwa hafikii hata robo ya ufahamu alionao Tundu Lissu.

Mara wengine wanadai kuwa anaichafua nchi , kwani wakati wasiojulikana wanamshambulia kwa risasi ndio walikuwa wakisafisha nchi?

Ninachofahamu mimi ni kuwa licha ya ulemavu aliopewa , lakini tunamshukuru Mungu kuwa amezihifadhi akili zake ambazo ndizo hitajio letu kubwa.

Jambo linabaki kuwa hivi, ikiwa ameunguruma akiwa nje ya nchi na CCM yote imeweweseka ni kwa vipi akirudi na kuunguruma humu ndani ya nchi?

Ndio ili upone ni lazima umeze dawa hata kama ni chungu kiasi gani. Na ndio maana nasema kuwa huyu wakili msomi bado amewafunika wote.

ASANTE MUMGU KWA KUTUPATIA MTU MUHIMU NA KWA WAKATI MUHIMU. May God bless you all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.Ndio hii ndio jumla ya maneno yote, kwamba moto umewashwa tayari huko ulaya na kichaka kina teketea afrika, walitamani sana afe lakini kwa uwezo wake Jalali bado yu hai, pia baada ya kosa kosa za tyu tyu tyu nyingi, bado Mungu ana mpigania.
Ndio inawezekana kabisa kuwa wame muingiza katika kundi la walemavu, lakini akili zake bado zipo timamu, na hicho ndicho wanao ona mbali ndani ya nchi hii wanacho jivunia kwake.
Kwani alikosa nini au kuwa mkweli na kuutoa ushauri kwa uwazi jinsi alivyo fanya ilikuwa ni nongwa ?
Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa huyu bwana Mwenyezi Mungu amemjalia kipawa cha kipekee sana, ebu angalia ameongea tu kidogo huko ughaibuni huku watu wote ndani ya CCM sana weweseka, kila mmoja anakuja na matamko yake, ooo Mara eti akapimwe akili, na anaye sema hivyo anatambua fika kuwa afikii hata robo ya ufahamu alio nao Tundu Lissu.
Mara wengine wana dai kuwa anaichafua nchi , kwani wakati wasio julikana wanamshambulia kwa risasi ndio walio kuwa wakisafisha nchi ?
Ninacho fahamu mimi nikuwa licha ya ulemavu alio pewa , lakini tuna mshukuru Mungu kuwa amezihifadhi akili zake ambazo ndizo hitajio letu kubwa.

Jambo lina baki kuwa hivi , ikiwa ameunguruma akiwa nje ya nchi na CCM yote ime weweseka ni kwa vipi akirudi na kuunguruma humu ndani ya nchi ?
Ndio ili upone ni lazima umeze dawa hata kama ni chungu kiasi gani.
Na ndio maana nasema kuwa huyu wakili msomi bado amewafunika wote.

Bila shuruti yoyote na kwa hiyari ya moyo wangu naunga mkono hoja.Ee Mungu nisaidie!
 
Nashangaa eti wanamlazimisha aisifie serikali iliyotaka kumuua, mambo ya ajabu kabisa
Halafu wanasema eti anaichafua nchi.Uongo uliovuka mipaka huu.Unaposema nchi unamaanisha kila kilichomo ndani ya milki na mipaka ya ardhi,anga nk.Lissu anaeleza ukweli kuhusu serikali dhalimu.Anaisema serikali.Mwananchi,wanyama,mimea hata water bodies hajazisema.Serikali ijibu hoja za Lissu.Siyo nchi ni serikali.
 
.Ndio hii ndio jumla ya maneno yote, kwamba moto umewashwa tayari huko ulaya na kichaka kina teketea afrika, walitamani sana afe lakini kwa uwezo wake Jalali bado yu hai, pia baada ya kosa kosa za tyu tyu tyu nyingi, bado Mungu ana mpigania.
Ndio inawezekana kabisa kuwa wame muingiza katika kundi la walemavu, lakini akili zake bado zipo timamu, na hicho ndicho wanao ona mbali ndani ya nchi hii wanacho jivunia kwake.
Kwani alikosa nini au kuwa mkweli na kuutoa ushauri kwa uwazi jinsi alivyo fanya ilikuwa ni nongwa ?
Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa huyu bwana Mwenyezi Mungu amemjalia kipawa cha kipekee sana, ebu angalia ameongea tu kidogo huko ughaibuni huku watu wote ndani ya CCM sana weweseka, kila mmoja anakuja na matamko yake, ooo Mara eti akapimwe akili, na anaye sema hivyo anatambua fika kuwa afikii hata robo ya ufahamu alio nao Tundu Lissu.
Mara wengine wana dai kuwa anaichafua nchi , kwani wakati wasio julikana wanamshambulia kwa risasi ndio walio kuwa wakisafisha nchi ?
Ninacho fahamu mimi nikuwa licha ya ulemavu alio pewa , lakini tuna mshukuru Mungu kuwa amezihifadhi akili zake ambazo ndizo hitajio letu kubwa.

Jambo lina baki kuwa hivi , ikiwa ameunguruma akiwa nje ya nchi na CCM yote ime weweseka ni kwa vipi akirudi na kuunguruma humu ndani ya nchi ?
Ndio ili upone ni lazima umeze dawa hata kama ni chungu kiasi gani.
Na ndio maana nasema kuwa huyu wakili msomi bado amewafunika wote.
ASANTE MUMGU KWA KUTUPATIA MTU MUHIMU NA KWA WAKATI MUHIMU. May God bless you all.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli hongers zake kwa
kuwafunika wazalendo wa nchi hii wote ambao wameamua kwa nia moja kujenga uchumi wa kisasa kuelekea uchumi wa kati
kwa kuamua kuwa kibaraka wa wazungu na kuiponda nchi,wananchi na serikali yake.
kwa kuamua kuwa mkimbizi wa kisiasa asiyejali watu na utu wa mtu
kwa kuamua kuwa mtetezi wa mashoga na kwamba hata mwanae wa kuzaa akiwa shoga hataweza kumuingilia kwa sababu atakuwa anavunja katiba ya uhuru wa mtu binafsi
kwa kuamua kuwatetea wezi wa makinikia kisheria kwa sababu tu wanamlipa hela
kwa..........endeleeni na mengine mengi mengi.
basi tunampongeza..lakini lililoniumiza zaidi yeye akiwa kama mzazi, ameamua kwa dhati kabisa na chama chake kuwatetea MASHOGA...kwa kutetea uhuru wa mtu , na kwamba hata mwanae kufanya vitendo vya USHOGA NI RUHUSA..nadhani mwanae ananisikia na anasoma andiko hili.
 
Yeye anatetea katiba kama yuko kinyume au anapotosha nanyi mjitokeze hadharani kuweka sawa hili au kukanusha hili na sio lazima kwenye kipindi cha HARDtalk popote pale.
Msipifanya hivi mtakuwa mnafirwa kwa siri hamtaki watu wajue na sisi tunaamini Tindu lisu amefichua siri zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom