Hongera TTCL

Hongera TTCL

Kuna sehemu nimesema kuwa karibu ni tija? Tatizo unasifia mtandao ambao hata waliopewa kazi ya kuutangaza hawasemi kwamba unapatikana kila sehemu ya nchi.
 
Boss post yangu umeelewa? Nimesema kutoka zanzibar mpaka kigoma na nimepita njia ya tabora sehemu Zote nimepata network isipokuwa mlima senkenke tu wapi nimesema kila sehem ya nchi?
Au nyie ndio GPA ya 35 😂
 
Naona umeshaanza kujishtukia na GPA yako. Pole sana, ndo ukubwa huo. TTCL kuna eneo hapa ubungo internet ni edge mwanzo mwisho sasa sijui huko wilayani inasoma vitu gani. Endelea kutafuta wateja, afisa masoko.
 
Boss me sio mwajiriwa wa ttcl Hilo Moja, na pili hata huo mtandao wako unaotumia Kuna sehemu inasoma Edge hivyo hivyo, Tatu nimeshare experience ya safari yangu ya zanzibar to kigoma kwa ttcl kutozingua network Sasa sioni shida, hata ww unaweza kuanzisha uzi wa 5G unayopata kwenye mtandao wako
 
Mtandao wangu una 3.85G hata 4G bado!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeshaanza kujishtukia na GPA yako. Pole sana, ndo ukubwa huo. TTCL kuna eneo hapa ubungo internet ni edge mwanzo mwisho sasa sijui huko wilayani inasoma vitu gani. Endelea kutafuta wateja, afisa masoko.
Acha hizo, sababu ya kutokuwa na network mahali inaweza sababishwa na vizuwizi (mlima) vitakavyo badilisha mwelekeo wa mawimbi (diffraction). Hili siyo tatizo la kampuni yeyote ile bali ni sifa moja ya kusafiri kwa mawimbi (wave propagation), hapo Ubungo kuna miinuko upande wa Chuo kwahiyo inaweza kuwa ni sababu ya kutokuwa na mawasiliano mazuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom