hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,237
- 8,530
Zaman ilikuwa nikiwa nasafiri nikifika mbezi mwisho natoa laini ya TTCL naweka ya hallotel au Tigo coz najua hapo ndio mwisho wa ttcl
But kwa Mara ya Kwanza Leo nimetoka zanzibar mpaka kigoma nikiwa na lain yangu ya ttcl, napata internet na napiga simu fresh kabisa sehemu Zote ambazo nimepita, sehem ambayo kidogo network ilisumbua ni mlima senkenke ila sehemu zingine Zote mpaka nimefika kigoma network iko poa kabisa
Hongereni Sana