Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,072
- 1,332
Pongezi nyingi kwa Safari Channel, nami nikiwa mojawapo wa wanatumia Ving'amuzi vya Zuku & Dstv natamani nione ninayosikia watu wakiyasimulia. Kwetu tunaotumia Zuku & Dstv tutakumbukwa lini?
Azam nchi za jirani na mikoa ya mipakani local channels zote za Tz wanapata. Kwanini sisi? - JamiiForums
Ahsante
Azam nchi za jirani na mikoa ya mipakani local channels zote za Tz wanapata. Kwanini sisi? - JamiiForums
Ahsante