Hakuna watu wazembe kama hao TANAPA.
Maajabu yao n kwmb ukfka mwsho wa mwezi utawaona na masanduku ya hela wanazisomba kupeleka huko porini, eti ni mishahara ya staff, na mara nyingi sn wameponea chupchup kuibiwa.
pamoja na kuwa na mapolisi au kuzisafirisha kwa ndege, bado n risk kubwa sn, na ni mambo ya kizamani sana.
Kwa hilo bado sijawapongeza.
Kwakua sekta ya utalii inaongoza kwa asilimia kubwa kuchangia pato la taifa ukilinganisha na sekta ya mdini...kilichofanywa na TANAPA ni hatua nzuri....tena kubwa ukilinganisha na office nyingine za serikali...
sasa malipo yote ya tanapa kufanywa kwa electroniki!!!....hakuna tena hardcash....
Ninachopenda kuwaambi mbia ni kwamba ongezeni mibadala mingi (Altenatives) zaidi ya VIZA card, Master Card Na tembo card Ya CRDB twende hata kwenye MPesa...
Twende hadi tufike mbali....