Hongera sana waziri Mwigulu Nchemba

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
Nakumbuka nilileta uzi hapa mtandaoni nikihoji juu ya ukimya wako katika sakata hili la madawa ya kulevya na kwakweli nilikuwa sikuelewi kabisa maana wewe ndie waziri mwenye dhamana na swala hilo lakini ulikuwa kimya kabisa kama vile haupo.

Hata hivyo, muda umenijibu mimi pamoja na wengine wengi tu tuliokuwa tunahoji juu ya ukimya wako.Kwakweli nakupongeza sana.

Lazima nikiri kuwa japo mimi sio shabiki wa CCM lakini kwa hili sina budi kukupongeza maana uliona mbali and you are now safe.

Endelea hivyo hivyo na tunaweza kukusamehe hata kwa yale ya nyuma ambayo wengine hayakutupendeza. Sina haja ya kuyaeleza hapa.

Hongera sana mheshimiwa.
 
Nakumbuka aliulizwa swali bungeni kuhusu ukimnya wake kwa hili sakata la madawa yabkulevya alijibu simple sana kwamba walikuwa na mipango toka kitambo na kila idara inamaelezo ya kutosha na wapo kazini kushughulikia hilo swala. Yeye kama waziri hawezi kuingilia idara za usalama pale anapowapa maelekezo ya kazi yeye atakacjosubiri ni utrndaji wa kazi na matokeo.

Kiukweli mwigulu ni smart sana sio kama bashite.
 
Katika hili aliona mbali.
 
.....
.....MUNGU ibariki Tanzania
IMG-20170318-WA0003.jpg
 
Nakumbuka nilileta uzi hapa mtandaoni nikihoji juu ya ukimya wako katika sakata hili la madawa ya kulevya na kwakweli nilikuwa sikuelewi kabisa maana wewe ndie waziri mwenye dhamana na swala hilo lakini ulikuwa kimya kabisa kama vile haupo.

Hata hivyo, muda umenijibu mimi pamoja na wengine wengi tu tuliokuwa tunahoji juu ya ukimya wako.Kwakweli nakupongeza sana.

Lazima nikiri kuwa japo mimi sio shabiki wa CCM lakini kwa hili sina budi kukupongeza maana uliona mbali and you are now safe.

Endelea hivyo hivyo na tunaweza kukusamehe hata kwa yale ya nyuma ambayo wengine hayakutupendeza. Sina haja ya kuyaeleza hapa.

Hongera sana mheshimiwa.
Mkuu nami naichukia sana ccm lkn kwa jinsi Mwigulu alivyo lichukulia hili suala nami nampongeza
Cc:Mwigulu Nchemba
 
Magufuli labda abadilike aondokane na akili ya chuki, ubinafsi, visasi na roho mbaya dhidi ya wakosoaji wake, lakini tofauti na hapo afadhali hata ana mazuri yake kuliko huyu baba
Mkuu usitegemee hilo jamaa kashalewa madaraka, yeye anachopenda kuona ni watu wanamsifu na kuabudu ata kama kajamba ni mwendo wa kupiga makofi tu.

Ni kwamba sizonje kakosa ushawishi,hekima na busara. Anatumia nguvu nyingi akili kisude ata kwenye maswala yasiyohitaji nguvu.

Utawla wake umekosa diplomasia,busara,upendo,maelewano,mvuto wa kisiasa na utendaji uliotukuka. Nguvu nyingi matokeo kiwango cha kidonge cha aspirini.
 
Back
Top Bottom