Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,143
unalipwa pesa ngapi kwa kila tangazo?
unalipwa pesa ngapi kwa kila tangazo?
Dah labda kuna voda wengne ambao me cwajui atiii!
Mimi ikifika saa moja net nihovyo mpaka saa saba usiku ndiyo inakuwa afadhali binafsi bado nawakubali airtel net yao iko vizuri ingawa naona hapa chini voda wana tuzamini JF...
Mimi ikifika saa moja net nihovyo mpaka saa saba usiku ndiyo inakuwa afadhali binafsi bado nawakubali airtel net yao iko vizuri ingawa naona hapa chini voda wana tuzamini JF...
Mi nimeona kuna mqbadiliko makubwa sana tofauti na Mwanzo. KwSasa naweza cheki YouTube, huku nadownload Movies bila kukwama kwana
BANGI!
Nitaijaribu leo.
Nafurah ya blackberry ya cku natumia two days ataka muda unaisha n mpaka saa sita ya siku ya pili atakama nilijiunga saa kumi na mbili asubuh!vodacom bhana