Hongera sana Shirika la Meli Tanzania

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,606
3,399
nipo natizama TBC 1 kwa kweli hii makala imenivutia sana ya shirika la meli tanzania. Naona mtendaj wake erik hamiss anaeleza namna walivokuwa na wapo wapo mpaka sasa na maboresho ya meli zao kama vile new victoria, mwongozo, mv liemba lya mfipa ambayo imetengenezwa 1913, na kadhalika.

Kwa kweli tuipongeze dhamira ya dhati ya Amiri jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Maguful kwa kuamua kuipa uhai kampuni hii ya serikal ya Meli.

Hawa jamaa kwa mujibu wa makala hii nayoitizama hapa TBC ni kwamba walikua hoi wamekata tamaa ila mh rais aliwapa mil 300 waaaze nayo.

Wamekomaa ndan ya miez 12 wakawa wameweza kusogea. Naona jinsi watu wa bukoba via mwanza wanavofaidi usafiri huu.

Kwa kweli meli nzurI
i ndan zina mpaka pa kulala, sehem za kula naona viti makochi safi kabisa. Abiria wanashukuru sana mana kwa safar ya bukoba mwanza kwa elfu 16 kwa kweli rahisi sana na unafika kama hujasafiri haupo hoi mara miguu imevimba mswaki hujapiga siku 3 njian ila usafit wa meli starehe sana.unafika buheri wa afya.

Usafiri wa maji ndio usafiri mkongwe dunian. Sisi kama Tanzania tumejaaaliwa kuwa na water bodies
ombi langu kwa shirika. Tufikirie namna ya kuwafikia watanzania wote wenye access ya maji ili nao wafaidi neema hii ya maji.

Kuwe na mipango ya kuanza safar kuanzia Dar es Salaam via Lindi via twara. Dar bagamoyo hongera sana Marine service.

tune tbc kuangalia
 
Pamoja mkuu
 
Si useme tu wewe mwenyewe ni mfanyakazi wa hiyo TBCCM iliyojigeuza kuwa moja ya Matawi ya Propaganda za CCM hasa kwenye awamu hii ya tano!

TBC ni ile ya mwaka 2010 ya Mzee Tido Mhando! Hii ya sasa haina sifa wala hadhi ya kuitwa TBC!
 
Hakuna kitu hapo zaidi ya utopolo hizo ela alizoweka hapo zilikua na uwezo wa kwenda kuwekeza kwenye secta nyingine kama kilimo na zingekua na msaada kwa watanzania wengi.
Hayo mambo ya usafilishaji angeachia sekta binafsi wala wasingeshindwa kuleta usafili wa kisasa Kama kampuni ya azam inavyofanya Dar to Zanzibar
 
Huyuhuyu amiri jeshi si ndo alitumia bilion kadhaa kununua ile meli sijui boti ya kutoka dar kwenda bagamoyo na haikudumu
 
Hakuna kitu hapo zaidi ya utopolo hizo ela alizoweka hapo zilikua na uwezo wa kwenda kuwekeza kwenye secta nyingine kama kilimo na zingekua na msaada kwa watanzania wengi.
Hayo mambo ya usafilishaji angeachia sekta binafsi wala wasingeshindwa kuleta usafili wa kisasa Kama kampuni ya azam inavyofanya Dar to Zanzibar
rudi ujifunze sarufi.
 
Ni sawa sawa na kuusifia mlango kwamba unafunguka, una kitasa na unaweza kufungwa... (Sasa ulitaka shirika la meli liweje zaidi la kuwa na meli ambazo zinafanya safari na zitatoa huduma kwa wasafiri ) ?
 
Si useme tu wewe mwenyewe ni mfanyakazi wa hiyo TBCCM iliyojigeuza kuwa moja ya Matawi ya Propaganda za CCM hasa kwenye awamu hii ya tano!

TBC ni ile ya mwaka 2010 ya Mzee Tido Mhando! Hii ya sasa haina sifa wala hadhi ya kuitwa TBC!
TBCCM (Tanzania Beba Chama Cha Mapinduzi)
 
Mkuu ile meli yenu mliyoizindua kwa mbwembwe kutoka feri to bagamoyo iko wapi?

Siku ile nilikuwepo kwenye safari ya majaribio to bagamoyo nilitamani kuwepo na gati pale ununio au mbweni nishuke nirudi home.
 
Si useme tu wewe mwenyewe ni mfanyakazi wa hiyo TBCCM iliyojigeuza kuwa moja ya Matawi ya Propaganda za CCM hasa kwenye awamu hii ya tano!

TBC ni ile ya mwaka 2010 ya Mzee Tido Mhando! Hii ya sasa haina sifa wala hadhi ya kuitwa TBC!
Hoja yako ni nini hasa mkuu?
 
Ni sawa sawa na kuusifia mlango kwamba unafunguka, una kitasa na unaweza kufungwa... (Sasa ulitaka shirika la meli liweje zaidi la kuwa na meli ambazo zinafanya safari na zitatoa huduma kwa wasafiri ) ?
hivi huwes kusifia zuri? nimekaa asubuh naona kipindi na mim nimependezwa sana na hawa jamaa nimeona pale watan zangu bukoba wanavopanda na mizigo yao usiku safar ya kwenda from Bkb to Mwz yaan meli uhakika.ina kila huduma ndan na zuri zaidi nafuu.daraja la economy elfu 16 unastarehe.
subir aje mtu humu aseme aliyewah kupanda atuambie.
zaman safar ya bukoba mwanza tabu tupu.
njian gari inaharibika unafika miguu imevimba ,hujapiga mswak siku ya tatu.tabu tupu
mim nimefurahia sana kuona wenzetu upande huo wa kanda wameneemeka.
ombi langu zianze na huku bahar ya hind dar to tanga tuwe na meli.dar mtwara
 
Hivi unajua MV Victoria ilikuja lini ?
 
Siku tbc itakapokuwa shirika la umma, na si shirika la utangazaji la sisiem, nikumbushe nitakuwa naangalia mkuu.
 
Back
Top Bottom