Hongera Sana Mahakama Ya Kenya

Hongera Sana Mahakama Ya Kenya

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
5,537
Reaction score
13,846
Mahakama ya Kenya imewataka wabunge kurudisha pesa ambazo wabunge walikuwa wanalipwa kwa ajili ya Nyumba kiasi cha 1m toka walipo anza kulipwa maana hazikufuata utaratibu wa sheria za malipo kwa watumishi wa Umma.

Uamuzi wa mahakama umefanya wabunge kuanza kulalamika kwamba utafanya wawe na maisha magumu.

Hii ni ishara kwamba wabunge wengi hasa katika bara la Afrika niwatetea matumbo yao na sio maslahi ya umma wako hata tayali kuvunja sheria wao wawe na maisha mazuri uku umma unataabika na shida kila kukicha.

Mahakama zingine lina jambo la kujifunza toka mahakama za Kenya ni namna gani zinafanyo fanya shughuli zake bila uoga.

El perdedo
 
Misisyemu ya Kenya irudishe hela, MK254 komaa hadi uhakikishe na wewe umepata gawiwo lako

Hawa ni mahayawani, watazirejesha na kusaka namna nyingine ya kuzikwapua, Afrika bana.... Sema nashukuru mahakama zetu kwa kuhakikisha uhuru wao sku zote, walishamkomoa hata rais.
 
Hawa ni mahayawani, watazirejesha na kusaka namna nyingine ya kuzikwapua, Afrika bana.... Sema nashukuru mahakama zetu kwa kuhakikisha uhuru wao sku zote, walishamkomoa hata rais.
Hapo kusini mahakama iko kwenye wallet ya jamaa mmoja
 
Back
Top Bottom