[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]na vipeperushi juuakipata masters atapita na yale magari ya matangazo [emoji23]
Mtoto akifanya jambo jema wazazi wanafurahi sana kwakweli
Huyo mzee aliyeshika bango ndo katoa hiyo idea lazimaKama hiyo idea kaitoa yeye basi ni kipanga haswa
Hili jina ni ndugu zetu wa Mbeya na SongweNi msukuma nini ?
Ila huyo si wa Mbeya bana. Hatupo hiviiiMbeya kuna baadhi ya watu wana ulugaluga sana
Huyu ndugu yenu mkuu,Malambugi wapo Mbeya vijijini,Ileje,kyela na RungweIla huyo si wa Mbeya bana. Hatupo hiviii
Ataelewa hayo baadaye,acha afurahi kwanzaSiku akipata PhD huyu ,tutakoma atapita na ving'ora mitaani[emoji3] [emoji3]
Karibu sana mtaani wenzio tuna miaka 4 sasa no ajira[emoji30]