juma kaseja

Juma Kaseja Juma (born 20 April 1985) is a Tanzanian (Association football|footballer) who currently plays as a Goalkeeper association football (goalkeeper) for Kinondoni Municipal Council F.C (KMC FC). He is also a member of the Tanzania national football team|Tanzania national team. Kaseja initially competed with Simba S.C, leaving the club shortly after the season's conclusion. In his early years, he played with the Makongo Dar es Salaam and Serengeti Boys junior teams. Kaseja later registered with Moro United F.C in 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Juma Kaseja

    Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha. Hatua unazopitia usikate tamaa kwani sasa ni kocha mkuu wa timu ya Kagera ambayo uliteremka nayo daraja na kupanda nayo. Nakuomba, usije kukubali kuwa kocha msaidizi wa timu yoyote hasa Simba, hii itakuzuia...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Juma Kaseja kocha mkuu Mpya Kagera Sugar

    Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja Kila la heri Juma
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Juma Kaseja anatafuta kiki kwa Djigui Diara

    JUMA KASEJA: KILA KITU DIARRA ANACHOFANYA MIMI NILISHAKIFANYA ENZI ZANGU. Nyota wa zamani wa klabu ya Simba Juma Kaseja ameweka wazi kuwa ubora anaouonyesha nyota wa klabu ya Yanga Djigui Diarra, yeye aliwahi kuuonesha mapema. "Diarra ni golikipa mzuri sana.Vitu ambavyo anafanya ndani ya...
Back
Top Bottom