kazeeka
Hawezi kuachiwa mwenyewe kwa kuwa anachezea timu ya taifa
Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
Huu ni upumbavu!Leo umetimiza miaka minne bila kufunga goli timu ya taifa hongera kwa rekod ya kipekee
Huu ni upumbavu!
Wewe kwa umri ulionao mpaka sasa umelifanyia nini Taifa?
Samatta ni mpambanaji na kila mmoja analiona hilo. Kuipambania timu sio lazima yeye ndio afunge, umejiuliza amehusika katika moves ngapi za magoli yaliyoifikisha ilipo hivi sasa Stars?
Threads kama hizi hazifai, sio sawa kuvunja moyo wanaojitolea kufanya usiyoweza kuyafanya wewe.
Hapa umepuyanga , so kama mtu hajafunga 4 years asiambiwe?yaan mshambuliaji unaipaambaniaje timu ya Taifa pasipo kufunga Wala ku assist?. Kwani ni lazima Kila mtu awe mcheza mpira?. Samatta uwezo umeshuka na nijambo la kawaida hasa ukizingatia umri WakeHuu ni upumbavu!
Wewe kwa umri ulionao mpaka sasa umelifanyia nini Taifa?
Samatta ni mpambanaji na kila mmoja analiona hilo. Kuipambania timu sio lazima yeye ndio afunge, umejiuliza amehusika katika moves ngapi za magoli yaliyoifikisha ilipo hivi sasa Stars?
Threads kama hizi hazifai, sio sawa kuvunja moyo wanaojitolea kufanya usiyoweza kuyafanya wewe.
Amefanya mazur ila kwa sasa inatosha ameua move nzur za magoli mfano mech ya uganda alitoka na mpira kwenye 27 ya timu pinzan pemben akakokota mpaka katikat ya uwanja na kutoa pas kwa kipa dakika ya 87 na moja moja alalakia au msuva asingefanya ujinga uleHuu ni upumbavu!