Hana lolote huyo kiba kazi yake kuvuta shisha nakufuata makomboAli Kiba sio mtu wakupenda kiki Tu, lakini mjengo wake Samatta atasubiri sana
Atapenda kiki kivipi wakati anaendesha baiskeli,waache wanaoendesha piki piki wapende kikiAli Kiba sio mtu wakupenda kiki Tu, lakini mjengo wake Samatta atasubiri sana
Kwani ni mashindano mkuu??Hongera zake tusubiri Diamond atamjibu nini.
Ndio mdudu gani huyo?Hongera zake tusubiri Diamond atamjibu nini.
Acha wivu mkuu na maswali ya ki.jinga..?Mbona ameenda kujenga mbali? Ameshindwa kumkata mtama mtu bahari beach,ununio?
Ali Kiba sio mtu wakupenda kiki Tu, lakini mjengo wake Samatta atasubiri sana
Haya mashindano kwenye nyumba ya Samatta yametoka wapi?Hongera zake tusubiri Diamond atamjibu nini.
Hebu tupia japo picha ya mjengo wa King Kiba tuuone mkuuAli Kiba sio mtu wakupenda kiki Tu, lakini mjengo wake Samatta atasubiri sana