N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,121
- 10,232
Hii ni hatua nzuri ya kuanzia naamini tutafika...binafsi naamini tunaweza kutoka kupitia riadha nilishaacha kuamini kwamba soka Tanzania litatutoa,kudos RT Wanariadha watano kuchuana Marekani
Mkuu,Hii ni hatua nzuri ya kuanzia naamini tutafika...binafsi naamini tunaweza kutoka kupitia riadha nilishaacha kuamini kwamba soka Tanzania litatutoa,kudos RT Wanariadha watano kuchuana Marekani
Kweli mkuu sema waandishi wa bongo habari isiyohusu soka wanaichukulia poa ilhali story kama hii walitakiwa waipe muda wa kutosha na iandikwe kwa kina,hawa vijana wakifanikiwa ndio utaona efforts za waandishi kujifanya wanajali...no wonder Simbu imekuja kumwona Multichoice wadhamini wa ndani wamekazana kumwaga pesa kwenye soka lililodumaa!Mkuu,
Pongezi kwa uongozi wa RT na pia mdau kwa kuleta huu uzi Jamiiforums .
Habari hii ya gazeti la Ippmedia ina upungufu mkubwa, haibainishi wanariadha hawa watashindana ktk mbio urefu gani Marekani, kwa mfano kama ni marathon ili kukubaliwa ktk mashindano makubwa mkimbiaji anatakiwa kuwa na rekodi binafsi bora (best personal time) ya angalau 2hrs :12 minutes 00 seconds .
Waandishi wa habari wajitahidi kufahamu hao wakimbiaji wetu wameshiriki mashindano gani ya nyumbani iwe za majeshi n.k na ubora wao ktk kumaliza mbio husika ili kukuza hamasa za washabiki na wale wengine wenye tamaa ya kujihusisha na riadha ili kukuza mchezo huo.