Hongera RC Mtaka

Hongera RC Mtaka

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
663
Reaction score
1,047
hongera sana nimesikiliza hotuba yako kumbe kuna chaki za Maswa, Maziwa toka Simiyu nk. Hakika mkoa huu ulipata kiongozi si kiongozi alipata mkoa.

Una plan nyingi sana aisee Mungu akuongoze uzitekeleze zote.... hatutaki viongozi maneno mengi tunataka viongozi wa kaliba yako ambao wana malengo ya kugusa maisha ya wananchi.

Hatutaki viongozi wapiga selfie na mafagio mtaani na maneno mengi. Tunataka viongozi wanaofikiri kwa mapana namna ya kumuunga mkono mh Raisi.

Aisee for real umenigusa kwa hotuba na mipango. Antony Anthony Mtaka
 
Huyo jamaa amewahi kutia nia ya Ubunge Jimbo la Musoma Vijijini mara 2 hivi, Nimrod Mkono akiwa ana mugaragaza. Awamu hii pia akatia nia Prof. Sospeter Mhongo akamugaragaza vibaya sana.

Jamaa yuko vzr na ni Mwana CCM hodari, nadhani ni mtu wa Majita-Musoma.
 
Simiyu itasimama imara daima chini ya Mtaka.May God Bless him
 
Mtaka ni Mkuu wa Mkoa ambae kwa kweli kwa mtu mkweli atakiri ana karama za kiuongozi na professional kweli kweli.Hongera sana

Alianza kwenye Ukuu wa Wilaya Mvomero
kweli umeongea na ww nimekupata kaka nmemsikiliza sana nikamuelewa na yy nahisi alichukiza na yule aliyevaa kijani wakati anaongea nje ya mada mtaka almfuata kumuambia maneno
 
Mtaka ni Mkuu wa Mkoa ambae kwa kweli kwa mtu mkweli atakiri ana karama za kiuongozi na professional kweli kweli.Hongera sana

Alianza kwenye Ukuu wa Wilaya Mvomero
Ben uko sahihi kabisa kabisa

Mtaka ni mkuu wa mkoa wa mfano
 
Kwanza kabisa nikupe pole kwa kazi nzito ya kuwatumikia wanasimiyu.

Pili ni kukupa Hongera sana kwa kazi nzuri unayofanya katika mkoa wak. Hongera sana mkuu katika wakuu wa mikoa wasio na majivuno,zarau na maringo kazini wewe ni mmoja wapo.

Tatu wewe sio wa kupenda kamera mambo yako kimya kimya ila unafanya ya maana. Hongera sana kwa yote.

Nakutakia majukumu mema umeonesha njia wengi wataiga kutoka kwako.
 
Kwanza kabisa nikupe pole kwa kazi nzito ya kuwatumikia wana simiyu
Pili ni kukupa Hongera sana kwa kazi nzuri
Inayo Fanya katika mkoa wako Hongera sana mkuu katika wakuu was mikoa wasio na majivuno,zarau na maringo kazini wewe in moja wapo
Tatu wewe sio wa kupenda kamera mambo yako kimya kimya ila unafanya ya maana Hongera sana kwa yote
Nakutakia majukumu mema umeonyesha njia wengi wataiga kutoka kwako
mkuu if possible tutajie mambo aliyo yafanya ili nasisi tujue juhudi zake
 
Wazee wa kufuata upepo kama kawa. Umejua haya baada ya Rais kumsifia? Kwann hukusema hizi sifa kabla
 
Back
Top Bottom