Nasema Hongera Rajay Ayoub
Nampa Hongera zangu kijana huyu kwa kuitangaza vyema Tanzania katika mashindano ya Tajweed huko nchini Tehran Iran
Ila kinachonisikitisha mimi kua sijamsikia hata Mbunge mmoja au Waziri mmoja kumpa pongezi kwa kijana huyu au pongezi wanastahiki wanaoimba mziki tuu
Pia najiuliza na kutafakari hivi Serikali itamuangaliaje huyu kijana kwa kuitangaza vyema TZ huko Tehran? Na pia najiuliza kwa kijana huyu je atapata mualiko huko Bungeni kama wanavopata wasanii hao wa Bongo Fleva
Kwa kweli hili jambo halitaki unaguzi wa aina yoyote ni kumpa pongezi kwa kijana wetu huyu