Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Ingawa nimekuwa upande wa upinzani siku zote lakini kwa hili sina budi kumpongeza raisi Kikwete.
Tangia nianze kufuatilia siasa za huyu Mheshimiwa, kwa mara ya kwanza nashuhudia akitulia nchini kwa wiki tatu bila kusafiri nje.
Hongera raisi, naamini kwa utulivu huo utapata mda japo kidogo wa kujifunza baadhi ya matatizo sugu ya watanzania na kuyafanyia kazi..
Hongera sana