Kwani kipi hujaelewa kwenye hiyo comment yangu? Kama suala ni watu wasiishi kama mashetani, kwanini serikali isiwe inawaingizia tu watu wote mishahara , ili kila
MTz apate mshahara ili lengo la kuishi kama malaika litimie, unaonaje hapo?
Aisee na mm mdogo wangu imemkuta kaka. Kasoma BA, post ya Customs officer inataka aliyesoma BA pia na kashafanya mara 2 mitihani hii, leo inamkatalia eti hana qualification aisee