Hongera Rais Samia kwa ajira 1097 TRA. Ila utumishi ni kikwazo ajira za vijana

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
3,757
2,000
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi mama Samia suluhu hassani kwa kutangaza ajira za pamoja hapo TRA 1097 si haba sana kupunguza wimbi la tatizo la ukosefu wa ajira mtaani.

Naelewa kila sekta ndani ya serikali wameanza kumwaga ajira za kutosha kwa kweli naelewa utapunguza hili tatizo. Ila naomba nikupe pole maaana pale utumishi mfumo wao umekuwa kikwazo sana kwa vijana hawa wenye sifa ila mfumo wa utumishi unawakata wakiomba Kazi.

Yaaani tra wamesema kabisa wanaotakiwa ni watu wamesoma Economics ,Accounting ,banking & Finance ,Tax , dogo aliyeleta malalamiko yeye kasoma Economics & Statics lakini kila akiomba mfumo wao unagoma nina imani ni vijana wengi hili tatizo linawasumbua huko mtaani na hawajui wafanye nini.

Naomba jambo hili litatuliwe vijana wasije kukosa hizo fursa kwa mambo ambayo utumishi mnaweza kurekebisha kwenye system yenu
.
Ushauri kwa kitengo cha wa watu wa Tehama nazani muwe mnaangalia kwenye Qualification na toen access kwa course zote zinazo qualify kuomba hiyo ajira Ili kupunguza haya malalamiko View attachment 1984074 View attachment 1984075
IMG-20211023-WA0005.jpg

View attachment 1984197 View attachment 1984198
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,869
2,000
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi mama Samia suluhu hassani kwa kutangaza ajira za pamoja hapo TRA 1097 si haba sana kupunguza wimbi la tatizo la ukosefu wa ajira mtaani . Naelewa kila sekta ndani ya serikali wameanza kumwaga ajira za kutosha kwa kweli naelewa utapunguza hili tatizo. Ila naomba nikupe pole maaana pale utumishi mfumo wao umekuwa kikwazo sana kwa vijana hawa wenye sifa ila mfumo wa utumishi unawakata wakiomba Kazi. Yaaani tra wamesema kabisa wanaotakiwa ni watu wamesoma Economics ,Accounting ,banking & Finance ,Tax , dogo aliyeleta malalamiko yeye kasoma Economics & Statics lakini kila akiomba mfumo wao unagoma Nina imani ni vijana wengi hili tatizo linawasumbua huko mtaani na hawajui wafanye nini. Naomba jambo hili litatuliwe vijana wasije kukosa hizo fursa kwa mambo ambayo utumishi mnaweza kurekebisha kwenye system yenu
.
Ushauri kwa kitengo cha wa watu wa Tehama nazani muwe mnaangalia kwenye Qualification na toen access kwa course zote zinazo qualify kuomba hiyo ajira Ili kupunguza haya malalamiko View attachment 1984074 View attachment 1984075 View attachment 1984076
Ajira wajinga sana
 

zink

JF-Expert Member
Sep 18, 2021
717
1,000
Duuh ndani ya miez michache mama kashatangaza ajira zaid ya 5000, juzi kati tanesco wametangaza 500+, tamisemi 200+, takukuru the same case, mpaka mwaka unaisha atakuwa kapunguza gepu kubwa sana
Mama yupo good hasa kwenye ajira vijana watafaidika sana, hongera sana kwake
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,855
2,000
Hiyo mizigo mnayoiongeza huko serikalini tutaweza kuimudu? Maana ni mizigo tu kuwalipa mishahara, na hakuna added value watakayoleta huko. Dawa ya ajira ni kujikita kwenye uzalishaji mali na huduma tu, tena zenye uhitaji.
 

Queen Kan

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
3,639
2,000
Mama kama ataona hapa atukumbuke na Sisi Walimu, tunapita kipindi kigumu mnoo!
 

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
1,515
2,000
Duuh ndani ya miez michache mama kashatangaza ajira zaid ya 5000, juzi kati tanesco wametangaza 500+, tamisemi 200+, takukuru the same case, mpaka mwaka unaisha atakuwa kapunguza gepu kubwa sana
alipoingia tu za waalimu 6000 afya 3200

wajati huo

miradi inaendelea

watumishi wanapandishwa madaraja

mei mosi ijayo alihaidi ongezeko la mishahara

Tulichelewa sana

Samia ni mtu Bwaba,
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,855
2,000
alipoingia tu za waalimu 6000 afya 3200

wajati huo

miradi inaendelea

watumishi wanapandishwa madaraja

mei mosi ijayo alihaidi ongezeko la mishahara

Tulichelewa sana

Samia ni mtu Bwaba,
Sawa, na bado mikopo ya chanjo tunaendelea kulipa kama kawaida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom