MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
kuamua kumpandisha hadhi huyo Dada kuwa mmoja wa walinzi wako waandamizi. Hakika kwa jinsi alivyo mahiri hasa katika kazi yake ya kukulinda nimeamini kuwa Wanawake wakiwezeshwa wanaweza. Ni Dada ambaye yupo makini sana na Serikali haijapoteza pesa zake au rasilimali zake kumfunza na anastahili.
Ni mfano mzuri mno kwa Dada zetu wa sasa kwani hakuna kinachoshindikana kama Mwanamke akiamua.
Hivi na hawa nao jamani Mafunzo yao huwa ni very intensive kama ya Wanaume au wao kwa kuzingatia jinsia yao hupewa mafunzo kiasi tu?
Hongera sana Wewe Dada mlinzi wa Rais Dr. Magufuli na tuna imani kubwa sana na Wewe.