Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau wa JF.
Nimepata taarifa ya mabadiliko makubwa kufuatia Uteuzi wa Professor Eliaman Sedoyeka kuongoza Chuo Cha Uhasibu Arusha hivi karibuni.
Msomi huyo Kijana, Mchapakazi, Mzalendo na Mwenye Maono naambiwa amethibitisha ubora wake kwa kuleta mabadiliko chanya maeneo mbalimbali k.m
1. Mabadiliko ya Watendaji hususan Wakuu wa Idara na Vitengo
2. Mabadiliko makubwa ya kiutendaji yanayoendana na falsafa ya Hapa Kazi Tu
3. Morali ya Kazi kwa Wafanyakazi imeongezeka sana
4. Imani ya Wafanyakazi kwa Menejimenti imeongezeka sana
6. Kuongezeka kwa Safari zenye na tija.
7. Uongo, Majungu na Ubaguzi Miongoni mwa Watendaji umekomeshwa kabisa na kubakia kuwa historia
8. Maamuzi yanayotolewa kwa sasa ni ya Haki na yanayozingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma
8. Maamuzi Yanafanywa kwa Wakati
9. Naambiwa hata Idadi ya Wanafunzi imeongezeka kwa kasi na haijapata Kutokea
10. Naambiwa Migogoro imepungua
11.Hadhi ya Taasisi imeongezeka.
Wadau mtaani nasikia wanajiuliza.
Je Watangulizi wake wanajisikiaje kuona Kijana Mdogo mwenye maono akifanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi? Je Nini faida ya Elimu yao kwa Nchi yao?
Kasi yake ya Utendaji na uwezo wa kufanya maamuzi unakaribiana unaendana wa Mzalendo Nambari 1 nchini.
Wazazi wengi Sasa wanatamani Watoto wao wajiunge na Chuo Cha Uhasibu Arusha.
Wananchi na Wakazi wa Arusha wengi wananena yaliyo mema juu yako na Taasisi.
Ushauri wangu kwako safari ya mafanikio haiwezi kufikiwa bila kufanya mabadiliko ya Msingi kwenye Idara nyeti za Utawala na Utumishi pamoja na Fedha.
- Endelea Kutumbua Watendaji Wanaokukwamisha
- Endelea kushughulikia changamoto mbalimbali za Wafanyakazi. Naamini Promotion & Recategorization!
- Endelea Kutumbua Watendaji Wanaokupotosha!
NB: 2020 ukigombea Ubunge tu nitakuwa mtu wa kwanza kukupinga. Safisha kwanza Chuo Cha Uhasibu Professor. Subiri hadi 2025 because your are still Young!
*Tunatekeleza*