Kwenye taaluma tusiwe waigizaji. Haihitaji uwe na PhD au Uprofesa. Na nitammshangaa sana huyo Bwana kama anakubali kuaibika kwa kutumikia kitu asichokielewa. Huyo sio mtaalamu wa Benki na wala hana taaluma ya Uwekezaji wa Kibenki. Hivi ukimuuliza huyo Prof. wa Chemistry kuhusu Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary, etc anazijua? Tusijifanye tunataka kumuingiza Zaza apige penalti kwa manjonjo wakati kwenye uchumi hakuna maigizo.