Mtani una bahati, nilikuwa tayari nishainyaka hiyo ulioi-edit...nikadhani huyu mtani keshakung'uta Lubisi nini!.Kwa kuvuka salama 2012.Ukome sasa kutembea peku peku,shukuru Mungu amekunusuru phina ni hechaivi negative and so is her current bf the great billionare!
Ama kweli kumbe ile kujitolea kwangu kuwapatanisha ilisaidia eeh! Hongereni Bishanga na Nyani Ngabu! HAPPY NEW YEAR 2013.
nouma nouma tu,undava undava tu,mpaka aachane na bibi yangu.Ama kweli kumbe ile kujitolea kwangu kuwapatanisha ilisaidia eeh! Hongereni Bishanga na Nyani Ngabu! HAPPY NEW YEAR 2013.
Mtani una bahati, nilikuwa tayari nishainyaka hiyo ulioi-edit...nikadhani huyu mtani keshakung'uta Lubisi nini!.
nouma nouma tu,undava undava tu,mpaka aachane na bibi yangu.
Happy new year Mrs. Bishanga :A S 11:
kwi kwi kwi kwi!
Wa nyumbani hebu nimegee hicho alichokiediti....