Hongera NMB Mobile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera NMB Mobile

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Domenia, Jul 22, 2009.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera kwa kuanzisha huduma ya NMB Mobile ...
  Changa mota kubwa Mnayo kumbana nayo hivi sasa ni Promosheni-Promotion ya huduma hiyo!!
  Lakini hata hivyo sio kazi kubwa sana!!Ni kuwekeza fedha-na muda

  1.Kwanza Mtumie Lugha Nyepesi na kutoa Elimu ya ni kwa jinsi gani tuta weza kufanikiwa na huduma hii!!
  Huduma yenu Imeanza tarehe 21/07/2009 linganisha www.mawazo-limbeart.blogspot.com Post ya tarehe 26/05.2009..... Blog ina sisi tiza tuendelee ili kufikia Mawazo halisi na mahitaji halisi...

  Mawazo-limbeart.blogstop.com imefurahishwa na reaction ya NMB

  Hudua hii isisitizwe kwa Walimu waliopo Vijijini!!-Watu walio na wasiwasi na usalama wa fedha zake hasa nyakati ambao yupo mbali na huduma ya kibenki ... na wanao pata shida katika kufuatilia mishahara yao Mijini!! na mifano mingine mingi itakayo fuata!!
  Hata hivyo NMB isisite kuandaa vocha hata za kiwango cha laki moja moja kwa kushirikiana na makampuni ya simu ...ambazo zinaweza zikatumila kama Muda wa maongezi au ika rahisisha kuhifadhi fedha moja kwa moja kwenye akaunti...

  Pamoja na hayo yote ufuatiliaji wa mafanikio ya huduma hii ya rekodiwe!! nina amini hii ni ishara ya tuna fikiria sawa na tuna ota Ndoto zinazo fanana!!

  Jinsi huduma itakavyo kua ina endelea na ni jinsi gani Mawazo itaendelea kufuatilia na ina penda kuji husisha na promotion ya huduma hiyo!!

  2. wafanyakazi wa benki wala wasi hofu kupoteza kazi kutokana na huduma kama hizi!! sasa ndio wakati ambapo wata fanya kazi kwa muda mwingi na faida nyingi kwa benki!! na ndio wakati benki itaajiri wafanyakazi wengi zaidi..

  hii yote inatokana na wateja Kuongezeka! na wateja wengi watapenda kuja benki kuulizia na kuona fedha zao kweli zipo kama wanavyo benki kwenye simu zao!!!!

  Jaribu kufikiria mtu alie poteza simu tena ana Iheshimu simu yake kwasababu tu ime unganishwa na NMB Mobile
  watu kama hao watakuja mara ngapi ofisini ili kutaka kujua usalama wa fedha zao?
  Huu ndio wakati wa wafanya kazi wa NMB kuoesha Ukarimu zaidi ka kawaida yao,...

  Asante
  www.myspace.com/geelimbe
   
  Last edited: Jul 22, 2009
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  NMB hongereni sana kuwa wa kwanza elimu sasa isisitizwe maana kama tunavyojua umma wa wa tz uliopo vijijini na mwendo kasi wa technologia ni balaa tutawaacha wengi utakuta ni mijini tuu wachache wanatumiaa ila walengwa hasa wanaotabika hawaipatiii au wanakuwa hawajui na hakuna mtu anaejali baada ya kuanzisha.....inabaki haitumiki vilivyo......najuaa crdb soon wataanza nao
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nadhani hii ni teknolojia nzuri,
  Lets keep our fingers crossed until when we see it going to cruising level, na huenda ikarahisisha mambo ya kuibiwa hela zinazowekwa kwenye vyungu majumbani.
   
 4. mvingira

  mvingira Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  sasa maisha ndio haya
   
 5. C

  Chief JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  NMB Mobile ni nini? Habari inakosa vitu muhimu!!
   
 6. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Hapa ndipo NMB watakiwa kuwekeza kwenye promotion
   
 7. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  That is a pretty good idea. CRDB have their own mobile banking running internally, still in alpha edition. I heard rumors though it is slated for launch this August -- time will tell.

  I am not really sure how NMB implemented their own system, but CRDB their chose to implement in Java applications. You first need to download the software into your mobile phone. Your phone should obviously have support for Java applications.

  But I doubt CRDB implementation, however. To install Java application and run it is not quite straightforward. Najiuliza wenzangu wa vijijini itakuwaje.

  Kama kuna mtu anajua how NMB implemented thier idea, please share it with me.

  Cross reference:
  I need your advice here
   
 8. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  That is a pretty good idea. CRDB have their own mobile banking running internally, still in alpha edition. I heard rumors though it is slated for launch this August -- time will tell.

  I am not really sure how NMB implemented their own system, but CRDB their chose to implement in Java applications. You first need to download the software into your mobile phone. Your phone should obviously have support for Java applications.

  But I doubt CRDB implementation, however. To install Java application and run it is not quite straightforward. Najiuliza wenzangu wa vijijini itakuwaje.

  Kama kuna mtu anajua how NMB implemented thier idea, please share it with me.

  Cross reference:
  I need your advice here
   
 9. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2015
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tume toka mbali
   
 10. bab-D

  bab-D JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2015
  Joined: May 2, 2015
  Messages: 1,130
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hapa walipofika ni pazuri ila watu wanaiogopa kuhamisha pesa nyingi kuna watu walihamisha na hela haikufika mpaka leo, ukiuliza nmb wanasema imeshapokelewa voda, na voda wanasema hawajapokea, tabu sana, pia ukihamisha inachukua mda mrefu kufika kuanzia 30minutes to 2hour, hivyo warekebishe usumbufu haufai
   
Loading...