ole moringe
Member
- Apr 11, 2013
- 27
- 17
Nasita kuchangia sifa ambazo bado sijaziona, bado hajatolea maamuzi, vuta subira kwanza
Atawekwa kitimoto na waziri mkubwa tutashangaa msamuzi atakayo yachukua
Jinsi jana wabunge walivyokuwa na mhemuko hata kama angekuwa mawig angeishia kutukanwa kama angeleta za kuleta.Ni mipango ya Mungu. Angekuwepo mama mawig angezima mjadala kwa kisingizio cha kanuni. Huko aliko aendelee tu hakuna shida naye
Nasita kuchangia sifa ambazo bado sijaziona, bado hajatolea maamuzi, vuta subira kwanza
Jinsi jana wabunge walivyokuwa na mhemuko hata kama angekuwa mawig angeishia kutukanwa kama angeleta za kuleta.
makinda yupo wapi
Hivi mama Makinda yuko wapi, au yeye haitoshi kwenye hili sakata,
maana nakumbuka Sitta kwenye sakata la Richmond aliwai kumchimba Naibu wake asishughulike nalo mpaka arudi safari.
Ajabu safarii hii Naibu ndio anatoa maamuzi magumu.
Wapi mama Makinda, au kambi za uraisi zinamchanganya.?
Kama ameula huko Sadc hatakuwa tena speaker wa hapa? Mwenye uelewa atujuze