Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,047
- 7,120
Mwana Jf mwenzetu huyoHongera kwa lipi ebu tupe maelezo ya kina ili nasi tujumuike kumpongeza
Wala ni biography ya huyo sykes basHuyu mzee mdini sijawahi ona
Kichwa chake kimejaaa akili za kujilipua tu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
We utakuwa bado bint mdogo humjui MohamedWala ni biography ya huyo sykes bas
invest what you are willing to lose
Kila MTU lazima atetee upande wake maana ndipo anapoona ni sahihiWe utakuwa bado bint mdogo humjui Mohamed
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
We binti nimekushusha vyeo sasaKila MTU lazima atetee upande wake maana ndipo anapoona ni sahihi
Just like mkuu Wa kaya Kwa bashite wake
invest what you are willing to lose
Kwenye hicho kitabu sijaona pahala alipoegemea katika dini yakeWe binti nimekushusha vyeo sasa
Uandike kitabu afu uegemee upande wako icho kitabu au risala ya ukoo!
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Tumuunge mkono Kwa kununua nakala ya kitabu chakeHuwa siachi kusoma threads zake. Ni zaidi ya kuwa na busara na hekima lakini pia ni pale anapoweza kujibu bila kugadhibika au kuchukia maswali au majibu/ maoni yenye kukera na kuchukizwa kwake
Aaaah ana mada zake umu zipo biases sana hata mzee Sykes kamuelezeaKwenye hicho kitabu sijaona pahala alipoegemea katika dini yake
Kaeleza maisha ya abdulwahid
invest what you are willing to lose
Hapo nimekuelewa, nilidhani unamaanisha kwenye kitabu hikiAaaah ana mada zake umu zipo biases sana hata mzee Sykes kamuelezea
Mzee Mohammad anaakili nying sana tatizo udini unamsumbua
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kweli wewe bado ni mtoto mdogo, hicho kitabu siyo cha kazi ya kifasihi, ni historia, ni kitabu kinachozungumzia mapambano ya Mtanganyika kudai uhuru ambao Mzee wetu anatuhumiwa kuandika HISTOHISIA na siyo HISTORIA.Kila MTU lazima atetee upande wake maana ndipo anapoona ni sahihi
Just like mkuu Wa kaya Kwa bashite wake
invest what you are willing to lose
Mkuu hicho kitabu hakina udiniKweli wewe bado ni mtoto mdogo, hicho kitabu siyo cha kazi ya kifasihi, ni historia, ni kitabu kinachozungumzia mapambano ya Mtanganyika kudai uhuru ambao Mzee wetu anatuhumiwa kuandika HISTOHISIA na siyo HISTORIA.