Kyindokyakombe
Member
- May 1, 2012
- 95
- 96
Hakika TUNDU LISSU weledi,umakini,ujasiri,Msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa CHADEMA.Nashauri CHADEMA sasa LISSU aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwani UWEZO,UZOEFU na UPEO wake ni mkubwa sana.Pia UMRI wake na UTANASHATI ni tiketi ya kupata KURA uchaguzi ujao.HOTUBA yake bungeni leo hakika Watanzania tumezidi kumkubali anajua kujenga hoja vizuri.Mungu mbariki TUNDU LISSU MZALENDO wa Tz.