Hongera Millard Ayo: Afungua Kituo cha kurusha mawimbi ya redio

Jamaa napenda vipindi vyake. Hakika atafanikiwa zaidi. Mungu awe naye
 
Sijawahi kumuona Kiranga akitoa tusi la nguoni miaka saba yote niliyokuwepo humu hahahaaaaa

Watu wengine wanaboa humu kumwita mtu mchawi wakati humjui huna ushahidi ni sawa na wendawazimu uchawi upo hata kwenye vitabu Vitakatifu umeandikwa na kuna mstari unasema heri kuishi na mchawi kuliko mnafiki na ndio hawa tulio nao humu wapo wengi kweli.
 
Hawa punguani wengine wenye utapiamlo wa ubongo wanachekesha sana.

Mtu anayepinga kuamini habari za uchawi kila siku hapa bado katika akili zao zinazoenda kimkundumkundu anaweza kuonekana mchawi.

Hahahahahahahahahahahaha... mkuu sio kawaida yako najua hata Mod watakuonea haya kukupiga ban. Kama ni mchezaji ungepewa njano japo kosa lilikua la red card.

Tatizo jf imejaa misukule wengi wanaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kutwa nzima kutafta umbea na udaku. Hawa hawa ukienda instagram utawakuta, kwenye magroup ya whatsapp wapo,fb wapo,mablog ya kipashkuna ya akina sinta na mange wapo mwisho wa siku bangi zao wanakuja kumalizia jf kwa ma-GT wachache waliopo.

Mkuu wazoee kwan hata ukibahatika kuwaona wengi wao ni vijana wa miaka ya 1990 na kuendelea. Bado wanakua muda ukifika wataacha upuuzi.
 
Millard ana akili sana. Anafanya vitu kwa mipango, kwa nini asiwe anamshauri jokate shost wake. Maana jokate linakurupuka likidhani ni sifa. Safi sana Millard ayo, hayo ndiyo maendeleo.

.... kwa nini asiwe anamshauri jokate shost wake.

Huu mstari huu, daah
 
Zipo nyingi sana
Wanatengeneza vipindi wanaviuza kwa radip na stesheni za Televisheni
mfano PPT ya/na Paschal Mayala
ngoja nikuitie huyu mtu akueleweshe vizur kabisa
Pasco ukuje!!
Kuna mtu anafahamu id ya Ahmed Kipozi (mheshimiwa DC nae ndo khabari zake hizi)
Maria Sarungi Tsehai nae huwa anaandaa vipindi kwa mrengo huu
So Millard big uuuuup dogo!!
Hao wanaosema sijui nini sijui nini wambie wakafanye na wao hizo sijui nini.sijui nini kama ni rahisi kufika hapo ulipofikia!!
Kwa anayewajua hao maguru wa habar i niliowatajai anaweza kuelewa kwann tunampongeza huyu dogo

Bwana Theluji nyeupe snowhite mbona wanituma kwa watu nisio wajua? by the way maswali yangu kuhusu radio studio ushayajibu. THANKS AND NO MORE QUEST.
 
Last edited by a moderator:
Watu wanapanik kweli, ni wapi nimemuita Kiranga mchawi.?
 
Last edited by a moderator:
Panic kwa kutisha gani uliko nako wewe?

Tatizo kubwa wanalo wabongo wengi unyafuzi ambao umetafuna akili na utashi wao kiasi ya kushindwa kusimama kwenye line na kutambua wapi anakwenda na wapi ametoka au anataka nini...

Wengi hawajui hata kupima kipi bora au mafanikio ni yapi na kwa mzani upi au kwa comparison ipi....

Miezi iliyopita palianzishwa UZI hapa kumsifia LUCY KOMBA kwamba kaolewa na Tajiri mara ooh anakwenda DK na wapo wapuuzi wenzie waliita wenzao wachawi kwakuwa tu walijaribu kuonesha mambo in a good manner lakini vinuka mavi wakakazana sana kusifu LUCY kaula lakini you cant believe nilikuwa DENMARK week iliyopita niliyoyaona juu ya huyo binti na compliments alizookota hapa nilibaki na butwaa.... Kwamba compliments zote zile bibie kaenda ishia vijijini na choka mbaya??

So usishangae chochote hawa vipapa wanaona ni vikubwa kwakuwa udogo wa bongo zao na unyafuzi hauwapi fursa ya kufikiri in a good way.
 
diomond na wewe njooo huku utuonyeshe kile kibanda chako hakiishi miaka 6 ahahahah
 
Back
Top Bottom