Hongera mheshimiwa Ridhiwani kwa kumpenda mwanao

Nshakuambiaga usinitag kwenye mambo ya kisengerema. Kwanini hupendi kunisikia lakini?
Mbona unakua mkali kama nyau mwenye nyama mdomon
Babu unatakiwa kuwa na busara sasa wewe unakuwa chakubanga tena ebu acha ujinga mzee
Sisi wajukuu tutajifunz kutoka kwako??
 
Mbona unakua mkali kama nyau mwenye nyama mdomon
Babu unatakiwa kuwa na busara sasa wewe unakuwa chakubanga tena ebu acha ujinga mzee
Sisi wajukuu tutajifunz kutoka kwako??
hahahaahah, babu kacharuka hataki uzungu hahahahaha chezea mzee Asprin wewe hahahahahahahah
 
Mungu akikujalia kupata familia (kama bado hujapata) egelezea hapo kwa Rizimoja malezi bora kwa watoto wa kike
Nakuhaidi nitazingatia ushauri wako.. tena natamani mtoto wa kike sana mshenga wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…