Hongera Mh.Lema kwa uamuzi wako

Hongera Mh.Lema kwa uamuzi wako

imsa

New Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3
Reaction score
1
Kitendo cha vyombo vya dola ambavyo ndio vyenye dhamana ya kulinda usalama na amani ktk nchi kuonekana vinatenda kazi kidhalimu,hv karibuni kulionesha kuto vumiliwa na mbunge wa Arusha mjini mh.Godbless Lema mahakamani huko Arusha kwa kile alichokiita ni vitisho dhidi ya wadai haki vinavyotolewa na vyombo vya dola.
 
Lema ni mpuuzi anachofanya ni kutafuta umaarufu wa kisiasa, kama kweli anauchungu aendelee kukaa gerezani kama kweli ana uchungu.
 
Hatukuelewi una maanisha nini,kichwa cha habari na maelezo.
 
Kitendo cha vyombo vya dola ambavyo ndio vyenye dhamana ya kulinda usalama na amani ktk nchi kuonekana vinatenda kazi kidhalimu,hv karibuni kulionesha kuto vumiliwa na mbunge wa Arusha mjini mh.Godbless Lema mahakamani huko Arusha kwa kile alichokiita ni vitisho dhidi ya wadai haki vinavyotolewa na vyombo vya dola.

Ueleweki unasema nini fafanua vizuri thread yako
 
nini ambacho huelewi...?
Kamanda ni ngumu sana kudeal na mtu aliyezoea kukaririsha,ikitokea hesabu kafundishwa 2+2=4 na kwenye mtihani likatoka 3+1= atasema hawajafundishwa.
Hivyo wapotezee kamanda
 
Back
Top Bottom