Mkuu utafiti hongera kwa kupata mke wako mtoto vipi lakini Mama mkwe wako farkhina anayo habari lakini? Je Mtoto wako ni wa kike au wa kiume?
Mkuu
MziziMkavu huyu ni mkwe
farkhina amekuletea mchumba...hongera kwa kupata mchumba. Yule wa kwanza ni wangu huyu ni wako...
Last edited by a moderator: