duh honera kubwa....... mbona ajavaa nguo?
Hii inaitwa Kangaroo Mother Care (KMC) ni pm 4 details
Kawaida tu mwanangu
Brand New, mupya kabisa!
Ndo mda huu...
aisee ndiyo havai nguo
Nisamehe bure, si nilifikiri unaongelea mtoto, kumbe wewe uko na mama mtoto. Nadhani hapo ndio kwanza tukio lilikua halina mda mrefu, sijui lakini naona kama amejifunika shuka vile!