kingadvisor
Senior Member
- Dec 21, 2011
- 109
- 30
katimiza wajibu wake said lead by example
Mkuu! hakuna wana-mafia katika hayo mafuriko!? wapiga kura wake walikuwepo...ofcourse ni mbunge wa jamuhuri ya muungano wa tanzania not unless otherwise hilo ni jimbo tu anawajibika kwa watanzania hivo ni wajibu wake.Angekuwa ni mbunge wa Dar es salaam tungesema katimiza wajibu wake lakini huyu Abdulkarim Shah ni mbunge wa Mafia hivyo kusaidia watu wa Dar es salaam ni zaidi ya kutimiza wajibu wake!
katimiza wajibu wake said lead by example
Mkuu! hakuna wana-mafia katika hayo mafuriko!? wapiga kura wake walikuwepo...ofcourse ni mbunge wa jamuhuri ya muungano wa tanzania not unless otherwise hilo ni jimbo tu anawajibika kwa watanzania hivo ni wajibu wake.
Mkuu! hakuna wana-mafia katika hayo mafuriko!? wapiga kura wake walikuwepo...ofcourse ni mbunge wa jamuhuri ya muungano wa tanzania not unless otherwise hilo ni jimbo tu anawajibika kwa watanzania hivo ni wajibu wake.
Sifa mojawapo ya Kiongozi bora!
Tukisema JK ni mtawala siyo kiongozi wengine wanabisha!
kwa haya maandishi..hivi na wewe ni great thinker??
Wewe kwani ulitaka JK afanye nini? nini maana ya RAis na mawaziri wake, wabunge, wakuu wa mikoa, wenyeviti wa serikali za mitaa, hao wabunge wenu kina mbowe na slaa mbona hatukuwaona? na mbona hawakuonesha mfano tukawaona wa maana sana ! Rais aliota kuwa yangetokea mafuriko? na hata angekuwepo angezuia? mbona mnashindwa kufikiri kama kweli ni great thinkers! ile ni QUDRA ya Mwenye Ez Mungu , alie juu,.. na huwezi kuiepuka tunatakiwa tu kumshauri RAis nini kifanyike kwa wale wenzetu wa MAbondeni na sio kulaumu!
Asee sijaelewa yaani
naona kama hapa ni kiwiliwili cha hii report
hebu nambie ilikuwaje
make tangu nimevamiwa
na mafuriko hapa tabata
no umeme
ni mawasilianoi yoyote
kafanyaje huyu mhishimiwa member of parliament?