usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 327
Wananchi wa Rombo tunacho taka ni Maendeleo.
Na serikali iliopo Madarakani sasa ni ya CCM.
Kususia kununa hakusaidii, naweza kusema huyu Mbunge ana akili nyingi sana kuliko wote wa CHADEMA,
Alivyompokea Mhe Waziri Mkuu, kutaniana nae nk
hadi kauli zake wakati akihamasisha wananchi kuchapa kazi, hakufanya siasa, bali amesema kweli na Mhe Waziri Mkuu alimpa nafasi ya kusema katika ziara ya PM Rombo Jumamosi ya Tarehe 23/2019
Tungepata wabunge wa upinzani kumi tu wenye akili za kama baba Paroko Selasini, wapinzani 2020 majimbo yetu yange kuwa ya mfano kwa Maendeleo
Ila kwa sasa yatakuwa ya mfano kwa Kulalamika.
Hongera sana pia kwa style Mpya ya ndevu Mzee,ila kumbuka tu Mbowe alianza nayo akaachana nayo,vijana wanaamini ushazeeka.
Ndevu Nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app