Hongera mbunge Selasini kwa kukubali kufanya kazi pamoja na Serikali ya CCM

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Nov 7, 2017
251
500
Wananchi wa Rombo tunacho taka ni Maendeleo.
Na serikali iliopo Madarakani sasa ni ya CCM.
Kususia kununa hakusaidii, naweza kusema huyu Mbunge ana akili nyingi sana kuliko wote wa CHADEMA,
Alivyompokea Mhe Waziri Mkuu, kutaniana nae nk
hadi kauli zake wakati akihamasisha wananchi kuchapa kazi, hakufanya siasa, bali amesema kweli na Mhe Waziri Mkuu alimpa nafasi ya kusema katika ziara ya PM Rombo Jumamosi ya Tarehe 23/2019
Tungepata wabunge wa upinzani kumi tu wenye akili za kama baba Paroko Selasini, wapinzani 2020 majimbo yetu yange kuwa ya mfano kwa Maendeleo
Ila kwa sasa yatakuwa ya mfano kwa Kulalamika.
Hongera sana pia kwa style Mpya ya ndevu Mzee,ila kumbuka tu Mbowe alianza nayo akaachana nayo,vijana wanaamini ushazeeka.
Ndevu Nyeupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,154
2,000
Wenye mtu wao wangependa kuja na story tofauti na hii wacha tuwasubiri tusikie wana maoni gani!
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,757
2,000
CCM mnachekesha sana badala ya kujibu hoja za wananchi mnashangilia mbunge akihamasisha wananchi kufanya kazi, nyie ni kazi bure kabisa
 
breki sifungi

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
662
500
CCM mnachekesha sana badala ya kujibu hoja za wananchi mnashangilia mbunge akihamasisha wananchi kufanya kazi, nyie ni kazi bure kabisa
hakuna hoja ya mwananchi yeyote iliyo tolewa hapo ya kuweza kujibiwa, kilichopo ni selasini kuongea kizarendo mbele ya pm

usitutoe kwenye reli
 
wounded man

Senior Member
Feb 2, 2019
167
250
Wananchi wa Rombo tunacho taka ni Maendeleo.
Na serikali iliopo Madarakani sasa ni ya CCM.
Kususia kununa hakusaidii, naweza kusema huyu Mbunge ana akili nyingi sana kuliko wote wa CHADEMA,
Alivyompokea Mhe Waziri Mkuu, kutaniana nae nk
hadi kauli zake wakati akihamasisha wananchi kuchapa kazi, hakufanya siasa, bali amesema kweli na Mhe Waziri Mkuu alimpa nafasi ya kusema katika ziara ya PM Rombo Jumamosi ya Tarehe 23/2019
Tungepata wabunge wa upinzani kumi tu wenye akili za kama baba Paroko Selasini, wapinzani 2020 majimbo yetu yange kuwa ya mfano kwa Maendeleo
Ila kwa sasa yatakuwa ya mfano kwa Kulalamika.
Hongera sana pia kwa style Mpya ya ndevu Mzee,ila kumbuka tu Mbowe alianza nayo akaachana nayo,vijana wanaamini ushazeeka.
Ndevu Nyeupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiolalamika majimbo yao yana tofauti gani na ya upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,861
2,000
Viongozi wa serekali wangekuwa wanafanya kama anavyofanya waziri mkuu kwa kuwapa nafasi wabunge wa upinzani kueleza kero na mazuri ya majimbo yao, wangekuwa wanapata mambo mengi sana,lakini viongozi wengi wa serekali wanapokuwa kwenye ziara kama hizi hawakubali kushirikiana na wapinzani hata kuwapa nafasi ya kueleza kero za wananchi wa jimboni kwake ni shida, kwa kuwa viongozi wengi waliopo madarakani wanapokuwa kwenye ziara kama hizi hawaende kufanya kazi kama kazi za serekali wanakwenda kama kupiga siasa za chama chao.
 
3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
5,682
2,000
Majimbo ya ccm yako nje ya nchi ?? mbona ni takataka na serikali ni chama chao.

Kibaya ni upambe kufanywa na mwananchi kama wewe huku ukijua kabisa wanaokutuma nyimbo zao ni zilezile toka Uhuru.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,396
2,000
..ulipaswa umshauri Raisi aige mfano wa Waziri Mkuu anapo-deal na wabunge wa upinzani.

..ziara za Raisi anapotembelea majimbo ya wapinzani hupenda kuwazodoa wabunge, na kuwachonganisha na wapiga kura wao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom