Hongereni Maua. Nimepita pale zamani sna
Kanda ya ziwa sijafurahia matokeo ya Makoko seminary, something must be done aiseee
CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS
S0127 MAKOKO SEMINARY SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 9 DIV-II = 22 DIV-III = 28 DIV-IV = 11 FLD = 0
nenda kawafanyie maombi..
hongereni mno, ila shule za seminary do excel good in their exams.
Hongereni sana uchache wa wanafunzi na kuwachuja ipasavyo ndio imepelekea wafaulu vizuri...sio kama shule zetu za uswahilili wako 350 mpaka ubaini mwanafunzi hata notice haandiki au hafanyi homework inakuwa shughuli hongeren sana///
Hii ni shule ya Seminary ya Kiislamu. Tazama somo la KIISLAMU, hakuna hata mmoja aliyepata C wote ni D na F.
Kuna D moja tu ya Maths, waliobaki F
Kwa matokeo haya, na ile mizozo inayoendelea Ndanda utakubaliana na mimi kuwa kuna watu Elimu sio nia yao ila wana mambo yao na ndio maana wengine wameamua kugomea mitihani.
Kama kamati za shule zitaipa mgongo Elimu na kuchaguliwa kwa misingi ya U'maalim hamna lolote litakalofanyika kwa mmiujiza hapa
sijui rubya na katoke seminary ziko vipi?
Ehehehe waungwana miaka ya 1991 (tulikuwa wa kwanza Tanzania) pongezi kwa kudumisha kiwango. Wakati huo huku Rector Placidus Meir,Morata,kule Henk yah ndugu yangu, mbundu kwa pembeni na discount zake,pale mashambulizi ya wakulima na Rhombic,Egfrid na biology.etc. Usisome unajitaka? sina mfano. Big up