kumbe kamtetea beberu mwamposaMNFUMAKOLE,
Sikutegemea angeongea hivi yaani ameongea kwa hekima sana sasa wale waliokimbilia kulaumu bila kufikiria kwanza wameumbuka. Kweli kila jaribu lina mlango wa kutokea.
Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mtumishi.SABAYA
Huyu pamoja na mapungufu yake ndiye aliyrongea kweli yoote ya biblia.
Kuwa
Mafuta
Fruto na vitu kama hivyo ni upoyoshaji.
Kuwa Yesu ndiye njia kweli na uzima na sio vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumishi wa Mungu ni nani na nani ? Na sisi waumini sio watumishi wa Mungu ? Au ni wafuasi wa " Watumishi wa Mungu"?Mimi ni mkey KKKT, lakini ni vema tuwe kama Mfalme Daudi, kwani hakuwa tayari kumzuru Mfalme Sauli, ingawa uovu ulionekana kwa Sauli? Ni vizuri tumwache Mungu awahukumu watumishi wake! Iwe Mwamposa ametoa kafara au la, bado anabaki kuwa mwana wa Mungu! Hivyo Baba yetu ndie atakae tuhukumu! tusiwe wepesi wa kuwanyoshea mikono wengine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wote tunatakiwa tuwe watumishi wa Mungu! Kwamaana alitumba tumwabudu( tumutumikie) hivyo hapo ulipo unaweza kumutumikia Mungu! Na kumutumikia Mungu sio lazima usimame madhabahuni, chochote unachofanya. Unapaswa unifanye kwa utumufu wa Mungu!Watumishi wa Mungu ni nani na nani ? Na sisi waumini sio watumishi wa Mungu ? Au ni wafuasi wa " Watumishi wa Mungu"?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wote tunatakiwa tuwe watumishi wa Mungu! Kwamaana alitumba tumwabudu( tumutumikie) hivyo hapo ulipo unaweza kumutumikia Mungu! Na kumutumikia Mungu sio lazima usimame madhabahuni, chochote unachofanya. Unapaswa ukifanye kwa utukufu wa Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wote tunatakiwa tuwe watumishi wa Mungu! Kwamaana alitumba tumwabudu( tumutumikie) hivyo hapo ulipo unaweza kumutumikia Mungu! Na kumutumikia Mungu sio lazima usimame madhabahuni, chochote unachofanya. Unapaswa ukifanye kwa utukufu wa Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app