Hongera sana Balozi Dr. Mahiga, japo najua dhamira yako baada ya UN ilikuwa ni ku-head TISS, sasa Mungu amekujalia kitu kubwa zaidi ya TISS na ukimaliza baada ya miaka 4, itakuwa ni 2014, rudi nyumbani, ongoza moja kwa moja kijiji kwako, 2015 chukua fomu, si unajua tena kuwa ghorofani anapanda Membe, wewe lazima upewe au Foreign au Utawala bora hivyo kuwa boss wa TISS na kutimiza ndoto yako, na kukamata ulaji, hivyo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.