Hongera maharusi

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
418
Reaction score
619
Penzi halina ubaguzi cha msingi ni kupendana na kuheshimiana. Hii picture ni funzo kubwa kwa baadhi ya dada zetu wanaochagua mume.

 
Bibi harusi mbona kanuna, kama kalazimishwa
 
Huyu bibi harusi atakuwa hana shule afu kijamaa utakuta kipanga na kina pesa ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…