Ifanye iwe yetu woteSiri yangu
Ongea yako inatambulisha uzoefu wako tasavali funguka zaidi mkuuKuna mabeki wengine wakali balaa sana. Wasafi, wanajua kunukia vizuri nd a bit fair skinned. Uki m pimp + ukampa a bit of exposure ni anakua bonge moja la dem, and some can be very fast learners.
Ww ukitaka kuamini kachukue ma binti wa mikoa ya Kilimanjaro, Tanga or Arusha. Achana na hii mikoa mingine ya ajabu ajabu alaf uwe unamtoa vi tips. Utaja niambia. [emoji23][emoji23]
Sema hak'ya Mungu......!!Natafuta kazi za ndani
Nipo seriousSema hak'ya Mungu......!!
Njoo Masaki fasta,natafuta beki tatu kweli.Natafuta kazi za ndani
Sasa kutaja Masaki ndo unafikiri atapaparika...?Njoo Masaki fasta,natafuta beki tatu kweli.
Nilitaka kukushushia bonge la tusi...anyway siyo hulka yangu.Sasa kutaja Masaki ndo unafikiri atapaparika...?
Watu bwana,sifa tuu
Natafuta kazi za ndani[/QUOTE
Ukipata nifanyie mpango hapo na mimi nataka kuwa house boy.