Hata mimi sijilaumu. Nilichagua vizuri kabisa. Nina diwani wa CUF na mbunge wa CUF jimbo la Kinondoni. Kidogo tungezoa Dar Es Salaam yote. Naamini tumepiga hatua. Ninatamani hawa wa UKAWA waliopata nafasi wafanye kazi mpaka basi. Kwa wingi wa madiwani tuliopata wana uwezo wa kuchagua mameya wote pamoja na meya wa jiji. Natamani wachape kazi hasa. Ili 2020 tuzoe jiji zima. Pamoja na kuendelea kuimarisha harakati huko mikoaniMimi kura yangu haijapotea.Nina Diwani,Nina Kubenea,Thanks to Ngoyai.Hongera mimi, hongera CDM, hongera UKAWA.Pipoooooooooooooozzzz
Hongera Lowassa, Hongera UKAWA. Pole sana CCM.
Nimesoma post nyingi sana za kukatisha tamaa kwenye jukwaa hili na kwingineko. Wengi wenu mnafikiri safari ya ukombozi ni sawa na kutembea kwa mguu toka Karimjee kwenda Ikulu. Wengine wananichekesha kuanza kudai ati ?sitapiga kura tena.? We mwehu au umetumwa!!! Sasa usipopiga kura ndio utakuwa unawakomoa usiowapenda? Wendawazimu wakubwa ni wale waoipongeza CCM kwa kushinda uchaguzi. Yaani, unaweza kumpongeza Magufuli kwa jambo moja tu, ?kufanikiwa kukanyaga Ikulu akiitwa rais. Huwezi kumpongeza kwa jambo lolote lingine. Mwenye kustahili pongezi katika uchaguzi huu ni Lowassa na UKAWA.
Wapo wana CCM wanaomcheka Lowassa kwa kuhama CCM na kugombea kupitia CHADEMA na mwisho kutangazwa amekuwa wa pili. Tume ya uchaguzi imempa Lowassa kura milioni sita. Wewe unayemkebehi Lowassa umewahi kushiriki uchaguzi wowote na kupata japo kura elfu mbili tu? Acha ujinga. Lowassa ameonesha kuwa anakubalika kuliko mtu mwingine yoyote Tanzania, na kauli yake inaogopewa sana, na ndio maana jeshi la polisi limeandikisha polisi wengi kuliko idadi. Wanaogopa. Neno moja tu la Lowassa linaweza kusababisha hata huyo mteule wa tume asiweze kuapishwa. Neno moja alilosema Lowassa, ?msifanye fujo na kuwapa sababu.? Ndio maana nasema hongera Lowassa.
UKAWA je, kwanini hongera? Kudadadeki! Hapo ndipo nasema HONGERA tena kwa herufi kubwa zaidi. Pamoja na waasisi kukimbia, UKAWA kamwe haijageuka kuwa ukiwa kama kiongozi mkuu wa CCM alivyosema katika moja ya mikutano. Kama unayesoma ujumbe huu ni mkazi wa Dar es salaam, basi kuna uwezekano kwa asilimia kubwa diwani wako ni UKAWA. Manispaa yako itaongozwa na UKAWA na hata Jiji la Dar es salaam huenda likabadilishwa jina na kuwa UKAWA CITY. Hakuna mwenye uwezo wa kuzuia jambo hilo. Pombe ataongoza toka Magogoni na kando yake tu, pale Karimjee; BENDERA za vyama vinavyounda UKAWA zitakuwa zinapepea, kando ya ile ya taifa au ya jiji. Hapo atakuwepo ?rais? wa Dar akimaliza kero za wananchi. Sasa unategemea wanaukawa waingiwe ukiwa kwa ushindi mkubwa kama huu? Nendeni Dodoma mkaipige hiyo minyimbo yenu ya TOT; kwani hapo Dar nani kaisoma namba? Na hata huko Dodoma, baadhi yao wamepisha siti ili UKAWA waweze kukaa; yaani kama vile mtoto wa shule anavyompisha siti mkubwa wake kwenye daladala. UKAWA anakaa na CCM anashika bomba, kisha atashuka tu kituo kinachofuata.
Ndugu zangu msiweke tena post za kusema pole au kukata tamaa. Wapeni pole hao waliopoteza dira. Unajua mabadiliko sio kuvuka kijito. Ni kuvuka mito, mabonde na bahari. Hapa safari ilipofika sio padogo na tafu ya Ngoyayi haikuwa haba. Wekeni sasa post za mikakati ya sasa na malengo ya kusonga mbele. Na hata kwenye uzi huu ningependa usiweke maneno mengi zaidi ya kusema HONGERA LOWASSA, HONGERA UKAWA.

Hongera Ukawa. hongera Luwasa.hongera Mbowe. hongera Mbatia. hongera Maalimu Seif. Hongra NLD familia ya Makaidi pokeeni hongera kwa niaba Baba. hongera mleta mada. Mungu yupamoja nasi.
Hongera UKAWA na Hongera Lowassa.
Hata tukiamini kuwa kura m6 ndizo alizopata, bado ni hatua muhimu sana kwa mabadiliko ya nchi yetu. Lowassa ameweza kuwaonyesha Watanzania kuwa sasa tunaweza kufanya siasa hata nje ya ccm.
Kwenye uchaguzi huu tulichagua Madiwani, Wabunge (wa kuchaguliwa) na Rais. Katika kura za rais, pia tulichagua Wabunge wa viti maalum. Hivyo hata kama azma ya kumfikisha Lowassa ikulu haikutimia, bado hatua tumeipiga. Tutapata madiwani wa viti maalum asilimia 40% kwa sasa, na zaidi mbegu ya mabadiliko imezidi kumea na kuchanua vyema.
=Sigma;14503982]Slaa 2010 alipata kura 2,271, 941. Roughly in Kama Lowassa anakubalika mara Tatu zaidi ya Slaa.
Eti Lowassa anaogopwa, aogopwe na nani kwa utajiri wake au!
bado zimeibiwa nyingi lakini amepata 6,000,000. Tulipwaya sana nakujiamani kupita kiasi ndio maana ikawa rahisi kutumia nguvu ya dola kutumaliza. Hapo ndio tulipo jisahau tu.