Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.
'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'
Nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks