Hongera Lema! Hongera Chadema!

Sioni ahueni ya CCM, LEMA alipokuwa HONEYMOON kawatesa ile mbaya, sasa amerudi hata nape anampigia magoti Lema ili awe mtulivu. BURIANI CHAMA CHA MAGAMBA!
 

Naona umeanza kukomaa kisiasa, hongera sana kwa hili sio kila wakati kuongea uongo tu.
Vp mstakabari wa mafisadi, wezi wa rasilimali za wanyonge wa Taifa hili, vp manyangumu wala rushwa na watoa rushwa ndani ya taifa hili?
 
Big up Nape! Hapo nimekupata vizuri!
 

Kudadeki acha unafiki wewe. Mbona wakati walikuengua UVCCM ulipokuwa unalilia mkataba wa ujenzi wa majengo ya umoja wa vijana mbona ulikimbilia vyombo vya habari hadi ndugu zako wakakukana? Chezea mafisadi yenu SSM wewe!! Usilinganishe Chadema na majambazi!! Mbona leo Dar nako ni amani tu leo hii? Wanaoleta fujo kwenye ngome za SSM ni wale mamluki mmewapandikiza, Green guards na Polissm!!! Bisha!!! Mbona CDM wanafanya mambo yao bila polisi na hakuna fujo!!! Sasa hao mamluki na green guards watachambuliwa mmoja baada ya mwingine na matokeo yake utayaona. Kwa taarifa Lema will be forever MP for Arusha Mjini. Pendeni msipende!!! Kazi mnayo. Gharama za kesi niaje? Mtalipa kama Chama au ni yule kibosile fisadi? Kesho mapokezi ya halaiki!!!
 
N

Nani angemwambia ajiondoe chamani, mbona Nape hajaambiwa ajiondoe kwa ajili ya ile kadi yake ya CCJ?
 
linafiki likubwa at work....maji ya taka taka........
 
Unafiki huyu kijana mnafiki hizo pongezi za kinafiki
 
Wewe Do Santos naona ni kibaraka wa nape huna lolote ndio maana unajiita majina ya kizungu upumbavu mtupu.
 
Nape una maoni katika kila jambo linalotokea duniani?????? Wakati mwingine jifunze kunyamaza.!!!!!!!1
 
mbona leo hujasema CHADOMO!!!?? na wewe umekua au?
 
Mnafiki mkubwaaa..mnafiki mkubwaaaa...hatutaki kusikia pongezi za wachawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…