AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Wanachadema tunapokea hongera yako kwa tahadhari kubwa!
Sisi tunawapa pole kwa kuwategulia mapandikizi mliyoyaleta kwetu kutuvuruga!
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
Hii post ya kipambuvu iliyojaa unafiki wa kijinga!
Kushindwa mahakamani kwa Lema na chadema mahakamani ilikuwa obvious, na leo mahakama ya rufaa imedhihirisha kuwa ni kweli kwenye hukumu ya awali kulikuwa na mkono wa mtu!
Nnauye Jr unashindwa kutumia uwezo na elimu yako matokeo yake unapost ujinga!
India shida san
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Wale wale. akili 1/2.Suala la ukanda na udini mmeleta nyie wenywe.sisi huku tumechanganyika.Kazi kwenu wenye propaganda dhaifu ambazo hakina mashiko kwa sasa.Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
Kamanda huyo dogo elimu yenyewe amefanya kuungaunga kama gundi ndio maana yuko empty upstairs.
Aliramba duara kidato cha sita, ccm wakamsaidia kupata usajili wa dirisha dogo chuo cha mwalimu Nyerere Kigamboni akaanza na certificate, ndipo akaendelea kuungaunga hadi wakampeleka india.
Pongezi za Kinafiki.Mbona ulivyoenguliwa UVCCM ulipiga kelele ukidai vigogo wa Ikulu wala Rushwa wakubwa ndio waliokuangusha.Leo unaisifia tena Ikulu.Pole sana Gamba.