nyani jike
Senior Member
- Feb 23, 2016
- 176
- 223
waulize kwa kweli ni mbaya sana. inawapa mzogo mkubwa kina mama!Ila sisi wanaume ni mabazazi sometimes.
Hivi unapata wapi guts za kumkataa mwanao? Damu yako?
Sio mzigo tu. Mtoto hapati malezi ya wazazi.Hebu
waulize kwa kweli ni mbaya sana. inawapa mzogo mkubwa kina mama!
Ishu sii kumkataa mwanao, je unakua na uhakika gani kama mtoto ni wako, wenye uhakika na bado wakakataa hapo kuna tatizo lakini unajuaje na unakua na uhakika gani in the first place kua mimba ni yako na uwe responsible na malezi yake hadi mtoto?Ila sisi wanaume ni mabazazi sometimes.
Hivi unapata wapi guts za kumkataa mwanao? Damu yako?
Thankx my kwa ujumbe mtamu,single mama wte tujipongeze!!!!
Kapime DNA kama sio wako unamuacha.Ishu sii kumkataa mwanao, je unakua na uhakika gani kama mtoto ni wako, wenye uhakika na bado wakakataa hapo kuna tatizo lakini unajuaje na unakua na uhakika gani in the first place kua mimba ni yako na uwe responsible na malezi yake hadi mtoto?
Kwangu hiyo ndio naiona changamoto. Wanaume wanakataa watoto kwa sababu nyingi tu(ingawa sio watoto maana wanakua hawajazaliwa, wengi hukataa mimba), kuna sehemu ya kuwalaumu wao na kuna sehemu ya kuwalaumu wamama wa watoto.
Nakubaliana na wewe . Single mothers wanapitia mengi sana kwa kulea watoto wao kwa kweli wanastahili zaidi ya hongeraLeo siku ya mtoto wa Afrika!Namshukuru Mwenyenzi Mungu kwa Neema aliyetujalia sisi waja wake sifa na shukrani kwako Mungu.Wamama wenzangu na mabinti wenzangu hongereni sana,sisi ni jeshi kubwa vita ni vikali lakini tunakuwa washindi Mungu yupo kati yetu.
Single mothers wote uzi huu ni kwa ajili yenu nawapongeza sana wamama wote wanaolea watoto wao wenyewe nafahamu changamoto mnazopitia kuwa mama na baba siyo kitu chepesi,kuwalisha,kuwasomesha,kuwapa malazi bora,kutunza afya zao,kuwa mlinzi,kuwa rafiki mwema na mwalimu kwa watoto wenu,kikubwa zaidi kulia huku unacheka na kutoa tabasamu siyo kitu rahisi.
Sitaki kujua sababu za kuwa single mother coz nazifahamu nyingi ila kiufupi wanawake wanaolea watoto wao na kupata all bills ni makomando,mwanamke huwa akimbii watoto wake.
Naona mtoa mada anatoa pongezi kwa wazinzi wenzake.